2 Kings 19:14
14
Hezekia akapokea barua kutoka kwa wale wajumbe, naye akaisoma. Kisha akapanda katika Hekalu la
Bwana
, akaikunjua mbele za
Bwana
.
Copyright information for
SwhKC